Karibu na familia yako katika JUMA LA UWAKILI kuanzia leo jioni katika viwanja vya kanisa hapa @mkjuuSDA litakalo ongozwa na Mch. Israel Kagya.
===
"NIA YANGU, UTUKUFU WAKO"
===
🗓️: 14 - 20, Nov 2020
⏱️: 6:00 pm - 7:30 pm
===
Vikundi vya nyimbo vitahudumu. Karibu sana
PRAISE & WORSHIP DAY at MAKONGO JUU SDA CHURCH.
Tunawakaribisha wakazi wote wa Jiji la Dar Es Salaam katika Ibada ya Praise & Worship hapa @mkjuuSDA.
🗓️: 24. 10. '20.
🕧 : Saa 3 Asubuhi - Saa 11 jioni.
Kwaya na vikundi mbalimbali vitahudumu. Karibuni sana.
#Sabbath#Family

FAMILIA PAMOJA NA YESU.
Tunawakaribisha wakazi wote wa Jiji la Dar Es Salaam katika 'Juma La Familia', litakaloanza siku ya kesho hapa @mkjuuSDA.
🗓️: 6 - 12. 09. '20.
🕧 : Saa 12 jioni - Saa 1 Usiku.
Kwaya na vikundi mbalimbali vitahudumu. Karibuni sana.
#Sabbath#Family
Therefore, if anyone is in Christ, the new creation has come:[a] The old has gone, the new is here!
2 Corinthians 5:17
Praying for you.
#Sabbath#rest#hope#myecd#trust#iwillgo
Cry out to the Lord, trust in Him, lean on Him, seek Him with all your being, wait patiently on Him, and He will help you conquer every difficulty you face!
Karibu kufuatilia makambi Mtaa wa Chuo kikuu live. Somo na Mchungaji Christopher Ungani.
Tafadhali subscribe katika account yetu ya youtube inayoitwa Makongo Juu SDA.
Pia unaweza kubonyeza link kwenye Bio… https://t.co/mnHkGoTcK7