#KIAPO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Amewaapisha Viongozi Mbalimbali Aliowateua Hivi Karibuni Akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Staki Senyamule Tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Nasi WanaGeita Twasema, Kazi Iendelee