@pastajoshuatz@Adventure_36@GaboZigamba_ Basi kazingua sana hata makubaliano hayapo hivi yani story aandike mwingine alafu credit apewe mwingine mkubwa kapuyanga apa
BREAKING ๐๐
Uongozi wa Simba, Hadi sasa bado haujalipa mshahara kwa wachezaji, benchi la ufundi na watendaji wao.
โก๏ธ Viongozi wa Simba Sports Club, Kupitia kwa Mtendaji Mkuu wake wanaangalia vyanzo mbalimbali vya Klabu ili walipe mshahara kabla ya Ligi ya NBC haijarejea.
๐จ KUELEKEA mwishoni mwa msimu wa 2025/26, Yanga imeendelea kufanya maandalizi ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kusaka wachezaji watakaoongeza ushindani ndani ya kikosi hicho. Safari hii, mabosi wa klabu hiyo wameelekeza macho yao kwa viungo wawili wa Singida Black Stars.
Taarifa zinaeleza kuwa Yanga imeanza mchakato wa kuangalia viungo wazawa wanaoweza kuongeza nguvu katika eneo la kiungo. Kwa sasa, majina mawili yapo mezani huku viongozi wa klabu hiyo wakifanya tathmini ya nani anayefaa zaidi kusajiliwa
Wachezaji wanaotajwa kuwa katika rada za Yanga ni Ahmed Pipino na Khalid Habib maarufu kamaโGego', wote kutoka Singida Black Stars