“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
DAR: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzani, Sheikh Ponda Issa Ponda ameyasema hayo leo, Septemba 7, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD),
Zaidi https://t.co/ZH7wEMloU1
#JamiiForums #Uwajibikaji
Nine years down the line: from battling for survival after 16 bullets to battling a treason trial. Different battle. Same courage. Same resilience. What a journey!
Miaka tisa baadaye, kutoka mapambano ya kuokoa uhai hadi mapambano ya kesi ya uhaini! Mapambano yamebadilika. Ujasiri ni uleule. Moyo wa kutokata tamaa ni uleule. Hakika, ni safari ndefu!
Picha hii ilipigwa Tarehe 2/11/2017 nilipofika Nairobi kumjulia hali Mwanasheria Msomi Mh. Tundu Lissu, baada ya kupigwa Risasi 16 na kuishi, siku hii nilimsujudia Mungu na kumshukuru kwa ukuu wake, Leo tarehe 7.9.2026 Tundu Lissu anatimiza Miaka 9 tangu Apige RISASI.
Mpaka leo hakuna mtuhumiwa yoyote aliekamtwa kwa tukio lake.
Mhe. Lissu ni mtu mwenye moyo wa shukrani Sana.🙏❤️
Mliomzuia asivae t-shirt yake sijui wanajisikiaje baada ya kuona Ukumbi mzima umevaa t-shirt kama ambayo wamemzuia yeye asivae.
🇦🇷🗣️ Lionel Messi: “I went through difficult situations and was criticised a lot. I saw that there was a generation of boys who defended me to the death. They fought with a lot of people to defend me.”
Leo tarehe 7 Sept ni kumbukizi ya siku ambayo Mungu aliamua kujidhihirisha kwamba alipangalo yeye ndo hutokea!
Hakupanga Lissu kufariki siku hiyo na haikuwa hivyo licha ya kumiminiwa Risasi mchele!!
Hili ndo jambo kubwa kwa siku ya leo!
Mungu aendelee kumuweka wakili msomi!