@prossoff Ashukuru Mungu KINYEO Chake Kipo Salama Hakijapakwa Mafuta Hadi Kikameremeta Kuepuka Kadhia Hii Kaa Mbali Na Mke Wa Mtu, Mke Wa Mtu Ni Sumu. Hakuna Kitu Cha Thamani Kama FAMILIA Na Mwanaume Hugeuka Mnyama Pale Familia Yake Inapovurugwa. Heshimu Familia Ya Mwanaume Mwenzako