@thomas_yona_ Ile app imerahisisha san ni usiri lakin sikuamin iyo siku nimecheki mtu anaye uza yupo pembeni yangu afu anauza ndizi😁😁😁nika mrequest apo apo nikaenda kuchapa😁😁ile app nzuri san
@Sukayotz Mwanaume unatakiwa uvae hizi kwa masilahi yan uvae kisa umepigania demu ujisifu utakua msenge vaa hii kwa matukio makubwa umedakwa na kete za bangi au sembe yan uvae kisa demu tukusifu uwo usenge haupo
@officielsalome Uwo mda unawo ona zile roli kuna wanaume ambawo unawaomba hela wanazisubri zije wafanye kazi unataka wenzako walale njaa au nia yako ni ipi😪😪
@rovicofficial__ Sas iv kuna hiii unakutan na demu kwenye basi afu unamuomba namba akiona unachelewa ana kutongoza yeye ili umuhudumie anakupiga vizing kisenga
@Roma_Mkatoliki Ila hili likipita hata mim naungana na mange watuache inaumiza san yan watu wanajitoa kwaajili yetu afu sisi hatu riact ki vyovyote yan ni kam zile dua tunapigaga pale makaburin afu maiti hata hasemi asante but one day wana tutachafukwa tutatoka bila chama chchte ni swal la mda 2