@Godfxer_fan Nchi iko huru kuna wanaopenda kuwa vibonge na weingine hawapendi ila katiba inaruhusu maandamano so wanaotaka kuandamana wako huru na why huyu kibonge anapiga kelele ....si akae ndani asubiri maendeleo anayo yasema
@Mneyla1 Hata kila kona za dunia mafuta bei imeshuka...ila lazima tuandamana kwa kupigania haki zetu na kutaka uwajibikaji wa mauwaji ya ndugu zetu.....maandamano yako pale pale
@Mneyla1 Hivi kila siku same words no output...mpaka leo the dead bodies hazijarudishwa na watu bado wanatekwa...maandamano ni kwa ajili ya hii kitu utekaji, katiba mpya na mauwaji na cha mwisho change ya maisha kwa wananchi ....
@JumbaDrc@theberneese Congo has won and has put the whole world on notice....@JumbaDrc you made the whole world see how to be patriotic also say real words without screaming....the whole world nows know fembu...๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ
@Grace_Mlowe Toka tuko shule ya msingi ni matatizo ya umeme...acheni hizo..nchi yenye maji, jua na upepo bado tuna issue ya umeme....ila migari na expenses za vigogo zikifutwa na kuwekeza kwenye new energy like solar issue hii yaweza isha
@lulurobert__ Look at you fools before u come out here and say this and the third ask ur leader why did she kill the youth of Tanganyika and till today bodies have not been returned plus still we have abductions ...so save it as the EU or US is not that stupid as u think.
@Thommunkondya Wewe fala sana miaka 60 na ushai yani unashangilia kitu cha kijinga...hivi unajua kuwa TTCL ndiy chanzo cha mabando kuwa mabovu kisa watu wachache wanakamua kila mtu...siku akili yako ikireset utajua tunachoongelea chawa we