@chapo255 Tatzo watu wengi hajamuelewa chapo anamaanisha nini maana ya chapo ni hivi biashara nyingi zinafuatiliwa na serikali km unafanya illegal sasa ikionekana chanzo chako cha msingi kimeongezeka na benk hii itasaidia kuwa biashara yako iwe safe
@nyuki_malkia Wazazi hawakuluka umri na wao walikuwa watoto vijana km mm walishindwa vp kujijengea kipindi hicho fursa nyingi hizi lawama nazionaga azina maana kabisa๐ก๐ก๐ก
@ford_sony5@Adventure_36 Kwenye maisha ya mtafutaji hawezi kuongea historia yake ukalidhika coz kutoka 2012 hadi 2024 hili linawezekana huyu alikuwa anatafuta utajiri kwahyo alikuwa anafanya biashara za kuhama hama kaanza na cd then biashara nyingi na nyingine hadi kafikia hapo yeye kataja alipoanzia
@chibelube@Adventure_36 Kwenye maisha ya mtafutaji hawezi kuongea historia yake ukalidhika coz kutoka 2012 hadi 2024 hili linawezekana huyu alikuwa anatafuta utajiri kwahyo alikuwa anafanya biashara za kuhama hama kaanza na cd then biashara nyingi na nyingine hadi kafikia hapo yeye kataja alipoanzia