@Roma_Mkatoliki Wew inatakiwa uchape tu korasi mistari unawaachia ao wengn mfano Kama Harmonize kwenye bedroom remix aliua sana aliwaacha wengn watereze yey anagusa korasi tuu ngoma ilipaa Sana mikatoπ€π€
@fumbokhanJr@MickyJnr__ Sahh kak walikudhihaki sana lakini ukweli nikwamba hatukujali hasara za watu wala kufikilia juu ya hisia za wapenda mpira ambao wengn n wanachama wa club kwasababu hakuna sheria inayokuruhusu kutoleta tim uwanjan et kisa umezuiliwa kufany mazoez y dakk 15 siku kabda ya mechiπ