@EduTalkTz Alimuacha Askari wa kike. Yule Mwanachuo akaona hapa ndio pakupita sasa. Alivyo jarib kuingia sasa Yule askari kamzuiya. Hapo ndio alichukua nafas ya kugombana na Askari wengine warecoad kama vile walipanga. Ili tu kuchagua Askar wa Suma
Ila sio suruali
@EduTalkTz Polen sana kwa Hili ila Usihukumu Askari wa Suma jkt bila kufatilia Tatizo ni nn iii Ucomment vizuri.
Tatizo sio Suruali. Tatizo la Huyu Mwana Chuo. Hakua na AID. Akarudishwa nje na Askar wa Kiume. Akarud nje kwa kumsonya. Yule asksri wa Kiume alivyo toka Gatin hapo.