Hakuna kitu kikubwa na faraja hapa Dunia kama kupigania HAKI, Kusima kwenye HAKI. Tundu Lissu amefungwa na Samia lakini ni kimwili tu, roho yake iko huru
Samia amefungwa kimwili na kiroho , Samia amefungwa na Mungu, amemnyima KUKUBALIKA machoni mwa Dunia, Amemnyika mafanikio, anatembea kama sanamu tu hana heshima yoyote popote pale, anaishi kwenye uongo
Samia anatembea ananuka damu , Hauna furaha yoyote amechoka/amechakaa vibaya sana
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!!
Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege.
Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!
VIDEO:
Katibu wa Shurah ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ameungana na wote 'wanaopiga kelele' kuhusiana na kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu, akitoa rai kwa muhimili wa Mahakama kuharakisha uendeshaji wa kesi hiyo ili haki iweze kutendeka
Sambamba na hilo, Sheikh Ponda amegusia kile alichodai kuwa ni kudorora kwa hali ya kisiasa Nchini akitoa wito kwa mamlaka za kiserikali na wadau wengine husika kuhakikisha wanairejesha nchi kwenye misingi ya 'kutabasamu'
Sheikh Ponda amezungumza hayo alipokuwa kwenye mahojiano maalum na Mwanahalisi Digital, ambapo kupitia mahojiano hayo masuala mbalimbali amegusia ikiwemo mchakato wa maridhiano uliofikiwa Zanzibar ukihusisha vyama vya CCM na ACT Wazalendo
Hii nyumba tungemsaidia @HecheJohn kumalizia - wenye uwezo wamnunulie simenti, vigae, tiles nk tumalize
Tusimpe directly pesa wasije wakasema kaiba 🙄 tumpeleke vifaa vya ujenzi ili watokwe na povu zaidi!
Sijui mnaonaje hili wazo?
Alicia Lissu amesema hajazungumza wala kumuona mumewe, Tundu Lissu, kwa takribani mwaka mmoja tangu akamatwe mwezi Aprili 2025 na kushtakiwa kwa uhaini. Akiwa uhamishoni nchini Ubelgiji, amesema amekuwa akifuatilia mwenendo wa kesi kupitia mawakili, ndugu na taarifa za mtandaoni huku akieleza miezi ya mwanzo ilikuwa ya hofu na msongo mkubwa.
Lissu alikamatwa wakati wa kampeni ya CHADEMA ya "Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi". Anakabiliwa na shtaka la uhaini lisilo na dhamana na ambalo linaweza kupelekea adhabu ya kifo. Serikali imeendelea kusisitiza kuwa hakuna aliye juu ya sheria na kwamba haiwezi kuzungumzia kesi hiyo kwa kuwa ipo mahakamani.
Alicia amesema baada ya kukamatwa kwa mumewe hakurejea Tanzania bali alikwenda Marekani kuwa karibu na watoto wao, akieleza jukumu lake kubwa limekuwa kuwafariji na kuwahakikishia kuwa baba yao alipigania kile alichoamini kuwa ni sahihi, huku akibeba pia jukumu lote la kifamilia na kifedha.
Akisimulia historia yao, Alicia amesema alimfahamu Lissu tangu walipokuwa wanafunzi wa sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambako alivutiwa na ujasiri wake wa kupigania haki. Alisema tangu wakati huo alitambua kuwa siasa zingekuwa sehemu muhimu ya maisha yao ya ndoa.
Kwa mujibu wa Alicia, changamoto ziliongezeka baada ya Lissu kuwa mbunge mwaka 2010 na hasa kuanzia mwaka 2015, alipokuwa akikamatwa mara kwa mara kwa makosa mbalimbali ya kisiasa. Amesema mwaka 2016 ulitawaliwa na safari za polisi na mahakamani, huku mwaka 2017 familia ikihofia usalama wake kutokana na madai ya kufuatiliwa.
Alicia pia alikumbuka tukio la Septemba 7, 2017, ambapo Lissu alipigwa risasi 16 mjini Dodoma. Alisema baada ya matibabu nchini Kenya, Lissu alihamishiwa Ubelgiji kwa matibabu ya muda mrefu, huku akisisitiza kuwa familia bado inaumizwa na kutokukamilika kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Baada ya kurejea Tanzania mwaka 2023 kwa matumaini ya kuchangia maridhiano ya kisiasa, Lissu alikamatwa tena mwaka 2025 na sasa anakabiliwa na kesi ya uhaini. Alicia amesema, licha ya yote yaliyotokea, anaendelea kumwona mumewe kama mtu asiyeogopa kusimamia kile anachoamini ni haki, huku serikali ikikataa kutoa maoni kwa BBC baada ya kutofikiwa makubaliano kuhusu namna ya kufanya mahojiano.
Kusema ukweli hii BBC EYE imenipa machungu sana, kwamba huyu bibi anaweza mtesa Lissu watu kavumilia tu yaani?
watanganyika wote tumeruhusu huu ushenzi kuendelea?
Samia ana giza kubwa moyo mwaka, hapo IKULU anazungumza na kutuchukualia watanganyika kama wanyama tu, yeye anamuona Lissu kama kuku tu, hawezi kuwa na huruma naye, ana roho ina giza kali yawezekana ni kutoka na history yake ngumu aliyopitia, kumbukeni alipoteza ndoto zake akiwa na umri mdogo sana, hii mpaka kuja kuwa hapo alipo ni ajali, hizi ajali tunatakiwa zizuia kwa kutumia katiba, mtu asiye na ELIMU akamwe asije kuliongoza tena hili TAIFA, na viongozi wapimwe akili na history zao lazima ziwe na viwango
hii kuokota okota okota watu matokeo yeke ndio haya Lissu anateseka Jela kinamvizia kumchinja kwa kupewa hukumu kinayotaka na majaji ambao hawa weledi wala uhuru
Tusikubali sana huu upuuzi kuendelea, na nyie wazalendo kwenye mifumo matako yenu wote, mmevumilia huu upumbavu inetosha
"Mimi nimefanikiwa kukaa muda Mrefu na John Heche, kwasababu hizi tuhuma zilianza kuibuka kabla ya kikao cha kamati kuu Kigoma, mimi nilikuwa Kigoma ma bahati mbaya akampoteza mtu wake wa karibu Suez (aliyekuwa dereva wake) kwahiyo mimi nilikuwa karibu yake kumfariji kwahiyo akawa kwenye msiba ule, tuhuma zinakuja, tukafanikiwa kumwambia Makamu Mwenyekiti wewe ni dhahabu unayepitishwa kwenye moto ili uje kuwa bora, vumilia, kuwa mtulivu na ndio unapikwa hivyo. Calm down, akatuelewa na hakusema jambo. Kauli yake ya kwanza ilikuwa ni ile ya juzi kwamba watu watume michango kwa Chama chetu." Mkuu wa Idara ya Habari wa CHADEMA, Bw. Gervas Lyenda akihojiwa na Wasafi Fm.
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, who has spent more than a year in prison on treason charges for which he could face the death penalty.
He survived an assassination attempt in 2017 when he was shot 16 times.
🎥 Full film: https://t.co/WRWXi1oWur
🚨SOMA HII🚨
‼️MBINU MPYA YA KUJARIBU KUBOMOA CHADEMA HII HAPA‼️
Baada ya jaribio la kumwua Heche na fitna za mitandaoni kufeli sasa kimama kiuaji amewahusisha viongozi na wafuasi wa CCM, CHAUMMA waliowahi kuwa Chadema pamoja na mamluki ndani ya Chadema kujaribu kufanya collective action kumwondoa @HecheJohn eti wamtoe Lissu akiwa mnyonge na akute maridhiano imeanza! Baadhi ya viongozi wa dini wameshapangwa waende kumwangukia kimama!
👉🏽Mbinu hii inahusisha baadhi ya watu waliowahi kuwa JOC wa CHADEMA kwa maana ya Jimbo Operation Commander - hawa walitumika kwenye masuala ya uchaguzi Chadema chini ya uongozi wa awamu iliyopita na baadhi walishawishiwa waende CHAUMMA ila wametoka mikono mitupu !
Sasa wamepewa kandarasi ya kuhonga viongozi wa wilaya CDM waende Dar kwenye press conference waanze kumlalamikia Heche na kutaka ajiuzulu!
Wanalipwa milioni 1-3 kila kiongozi wa wilaya na wamefika wilaya nyingi nchini ikiwemo baadhi ya wilaya za Tanga, Lindi, Mwanza na Pwani!
Mbali na hawa JOC pia baadhi ya viongozi waliofukuzwa au kuondoka kwenye chama wanahangaika na simu na nimeshapewa audio nyingi ila kwa sasa sitaweka wazi kwanza ili waje wajae 😁
Nacheka maana nimefurahishwa kuona kuna viongozi waaminifu wengi ndani ya Chadema waliokataa kurubuniwa 👊🏽
Wito kwa viongozi WOTE wa wilaya na wengine MSIRUBUNIWE! Hawa wanaowahonga milioni 1-3 wamepewa milioni 5 na zaidi kuwahonga kila mmoja wenu na wamekula pesa - so mmeshaliwa mkipokea pesa
Pili hizi pesa zina damu za ndugu zenu watanganyika - msijiletee laana na msijimalize kisiasa kwa bei chee! Atakayetoa pua kuongea mambo ya Heche sijui nini anajimaliza kisiasa milele!
👉🏽Pia mkakati unaendelea hawa watakaonunuliwa waende kuvuruga Baraza Kuu ingawa Tundu Lissu LAZIMA kimama amwachie mapema so hii naona ndo useless kabisa!
👉🏽Na mwisho kabisa wanataka hawa viongozi waandike barua kwa msajili wa vyama kumshtaki Heche! Watengeneze crisis! Stupid kabisa 🚮
Sasa narudia atakayekubali kufanya hii kazi ya kishetani nitamshangaa atakuwa ni mpumbavu! CCM na kimama wanapumulia mashine na tunaenda kuzima mashine! Sasa tukishakomboa nchi mmepanga kuishi vipi na hii aibu ya usaliti!
ACHENI ❌
Hakuna pesa inayoweza kununua heshima!
Chadema imeshapata idhini ya Mungu pale ambapo Januari 2025 walipochagua hii timu ya uongozi! Na mmelipa gharama kubwa kufika hapa msikubali kurubuniwa na vijisenti wakati kuna neema kubwa mbele
KATAA WAHUNI ❌
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
Hakikisha unaagalia hii documentary ya kiuchunguzi ya Tundu Lissu ikionyesha alivyoumizwa na familia yake kuteseka!
Kimama kikatili hakina kesi kimekaza fuvu tu!
#FreeTunduLissu
Waliposhindwa kupambana naye kwa Hoja, CCM wakaamua kumpiga Lissu.
Miaka yote CCM wamekuwa na mipango mibaya ya kutaka kumuua Lissu sababu tu amewazidi kujenga Hoja, Leo Samia amemkamata na kumweka jela ili amuue kwa kutumia majaji alioteua yeye mwenyewe.
Tumekuwaje nchi ya kishenzi namna hii ? Tumekubali ?
Lissu yuko Jela mwaka na nusu sana na hii hali yake sababu ya Samia ale pesa zake na kundi lake akiongozwa na Kikwete
BBC Africa kupitia #BBCAfricaEye wametoa Documentary kuhusu Mhe. Lissu inaitwa A FIGHT TOO FAR unaweza kutizama kupitia link hii hapa👇
https://t.co/glhG52Mk7v…
Samia aliyempa ujasiri wa kuwaita wakosoaji wa Serikali yake haramu MAGAIDI ameitoa wapi?
Yeye aliyeamuru Raia wauwawe kwa kwa Risasi, anayeagiza Raia wanaompinga watekwe na kupotezwa tumwite majina gani?
Huyu si ni yule mwanamke anayezaa na kunyonga watoto wake kwa kamba shingoni na kuwatupa jalalani?
Tunajua umeshapanga vikosi kila mahali kushughulika na wanaokupinga na kukukosoa bila uoga, nakukumbusha tu, kabla hujaua wakosoaji wako wetu ukombozi utakuwa umeahapatika.
Muda utaamua.
Kwani hao ACT WAZALENDO mpaka wanafanya Maridhiano Zanzibar kwani walikuwa na shida gani hawa?
Wanataka kuitumia ZANZIBAR kama Condom kwenye kuhamisha usenge wao wa MARIDHIANO kuja Bara.
Chama Cha WASENGE SANA HIKI.
VIDEO:
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma, Madoga ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2020 na baadaye kupitia CHAUMMA mwaka 2025, amesema CHADEMA imekuwa sehemu muhimu ya maisha yake ya kisiasa.
"Nimeshajuta sana kuhama CHADEMA. Nitakuwa muongo kama sitasema najuta sana. CHADEMA ni chama ambacho nimetumia ujana wangu mwingi sana kukijenga, lakini na chenyewe kimetumia rasilimali zake kunijenga. Siasa yangu, jina langu na heshima vimekuwa vikubwa kupitia chama hicho," amesema Madoga.
Ameongeza kuwa kwa mtazamo wake, CHADEMA ni chama kikubwa ambacho ni vigumu kwa mtu kukihama bila kujutia.
Madoga pia ametumia nafasi hiyo kuwaomba radhi marafiki na wafuasi wake ambao, amesema, waliumia kutokana na uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA na kujiunga na CHAUMMA.
"Nitumie fursa hii kuwaomba radhi marafiki zangu na ndugu zangu ambao niliwapa wakati mgumu wakati naondoka CHADEMA na kwenda CHAUMMA. Wengi hawakutegemea kwa sababu niliishi nikiamini na kuapa kwamba nisingeweza kuondoka CHADEMA," amesema.
Akizungumzia uwezekano wa kurejea CHADEMA, Madoga amesema hawezi kutoa uamuzi kwa sasa, akieleza kuwa siasa hubadilika kulingana na nyakati na mazingira.
Aidha, amesema licha ya changamoto zinazokikabili CHADEMA, bado anakiona kuwa ni chama kikubwa na chenye nguvu katika siasa za Tanzania.
Hii ni michezo tunaijua sana! Huyu anasema mawakili wasiwe wanaharakati ukimuuliza kwanini? Hana jibu lakini ukweli ni kuwa wanahoji sana!
Mwingine anasema kufanya harakati ni ugaidi, hata walioanzisha hiyo sheria ya ugaidi wanashangaa tunavyoitumia!
Asiyemwanaharakati ni mfu!
Hata dhahabu hupitishwa kwenye moto.
" stay strong" kiongozi ktk kipindi kigumu sana umekibeba chama kwa uaminifu mkubwa na majitoleo ya hali ya juu sana.
Tunakuombea afya njema na ulinzi wa Mungu ktk kila hatua utakayopiga.