G20 SUMMIT "Je, ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Marekani ni wa usawa unaonufaisha pande zote, au Marekani inanufaika zaidi kwa kutumia rasilimali za Tanzania huku nchi ikibaki na faida ndogo za maendeleo?"
@Sativa255 Pongezi sana kwa wananchi walitoa msaada wakishirikiana na vyombo ya uokozi katika zoezi la uokoaji
Kuliko wengine wanajikita kulaumu kila kitu 💔
@Sativa255 Tunachopaswa kujua ni kuwa majanga kama haya yanaweza kuikumba nchi yoyote muda wowote, serikali imeweza kuwajibika ipasavyo katika hili, pole kwa wahanga walioathiriwa. Lawama nyingine ni kuingilia mapenzi ya Mungu.@KimilaNjok18374
@MariaSTsehai Wew Kama mtanzania umefanya nini??ni kweli kila jambo ni lazima uchochee hata kwenye swala ambapo linahusu maisha ya watanzania wenzetu?Raisi anamamlaka ambazo zinasimamia wakat wa majanga hayo na tumeziona zikishirikiana na wananchi #sisindiowajenziwatanzania
@MariaSTsehai Acheni kuona kila kitu kinachofanywa na Serikali ni kibaya kwa sababu ya chuki zenu binafsi huyo ambae mnamtaka awe Rais mbona hajatuma salamu za pole🙄
@Sativa255 Waliosaidia kuokoa ndio wangekuwa wanalalamika lakn wanaharakati mmekaa tu kwenye viti na simu zenu mnachochea ni bora na nyie mngekuwa pale K/koo tukiwaona mnaokoaa ndipo mngekuja kulalamika
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa nchini Tanzania. Ameweka msisitizo kwenye kuboresha usalama wa chakula kupitia mipango mbalimbali inayolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuhakikisha upatikanaji wa chakula kwa wananchi wote.
Katika mkutano wa G20 unaotarajiwa kufanyika Rio de Janeiro, Brazil, tarehe 18 hadi 19 Novemba 2024, Rais Samia amealikwa kushiriki kama mgeni mwalikwa. Ushiriki wake katika mkutano huu ni fursa muhimu kwa Tanzania kuwasilisha ajenda zake kuhusu usalama wa chakula na ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa.
Kupitia jukwaa hili la kimataifa, Rais Samia anatarajiwa kusisitiza umuhimu wa kuwekeza katika sekta ya kilimo, kuimarisha miundombinu ya usambazaji wa chakula, na kuhamasisha matumizi ya teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa mazao. Aidha, atatoa wito kwa nchi wanachama wa G20 kushirikiana na Tanzania katika juhudi za kupambana na njaa kwa kuwekeza katika miradi inayolenga kuongeza uzalishaji wa chakula na kuboresha lishe kwa wananchi.
Ushiriki wa Rais Samia katika mkutano wa G20 pia unalenga kuimarisha diplomasia ya uchumi kwa Tanzania, ambapo atatafuta fursa za ushirikiano na uwekezaji katika sekta ya kilimo na usalama wa chakula. Hii itasaidia kuongeza uzalishaji wa chakula nchini na kupunguza utegemezi wa misaada ya chakula kutoka nje.
Ushiriki wa Rais Samia katika mkutano wa G20 unatarajiwa kuleta manufaa makubwa katika mapambano dhidi ya njaa nchini Tanzania kupitia ushirikishaji wa jamii na ushirikiano wa kimataifa.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #kilimochakisasa
Shughuli za uokoaji zikiendelea asubuhi ya leo Novemba 17, 2024 katika eneo la tukio la kuanguka kwa ghorofa mtaa wa kariakoo Jijini Dar es saalam lililotokea Novemba 16, 2024 majira ya asubuhi
Tujitokeze kushiriki uchaguzi wa serikali za mtaa trh 27/11, ili kupata viongozi watakao fanyika daraja la kutuletea maendeleo . Kumbuka * serikali za mtaa ni sauti ya wananchi* jitokeze kushiriki.🇹🇿
Soko la darajani mjini-zanzibar
Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbali mbali ili kuonesha matokeochanya na uwajibikaji wake kwa wananchi.
Pongezi Dr samia
Pongezi Dr mwinyi
#sisi ni Tanzania 🇹🇿 #Tanzania yetu #mslac#sisinitanzaniampya#matokeochanya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kwenye Kikao maalum cha maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) leo tarehe 12 Novemba, 2024 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.