@Psiteshio1 Ishu tu na sio bei pekee, Kingine ni quality of a product. Kupata orginal mfano nguo apa bongo nyingi ni matambala. Lakini unaeza order nguo og unakaa nayo mpaka unasahau
@IAmHaule Afu sasa billion kwa mfanyabiashara aliyetulia ni pesa tu sio ya kushitua sana. Ama wenzetu nyinyi mnatumia reference gani kushangaa billion??
@thisispinguini Cause unakuwa unaishi a different world they can't understand, Wakiwa wamelala wewe uko Macho una analyse, wakiamka wewe unalala, ikifika Monday wanakuwa bored, wewe Monday ndo unakuwa Happy and excited.
And On weekends trader unakuwa bored but watu wengine wanakua excited.
@zittokabwe Everybody is standing with Iran. Persian people with their long-time history and value. But we dont stand with the Islamic regime of 1979. Which forced iranian to obey the sharia law by force and limit their freedom. the regime has killed many in the name of religion
@ayubu_madenge Huwezi tenga dini ama imani kwenye hii vita. Kama ni masilahi. Waarabu wanemsaidia iran ambae anapigwa na watu wawili kwenye ukanda wao. Lakini arab countries sunni hawataki kuwasapoti iran shia. Maana haawamini kwenye shia ideology za ki ayatollah.
@ayubu_madenge Moja ya maarifa ni kuwa Israel hapambani kuiangamiza iran bali IRGC in Iran. Nyingine ni kuwa waarabu hawamsapoti IRGC in Iran sababu matakwa yake ya kuifuta israel hayatekelezeki. Wakati waarabu walisha accept israel kuwa taifa na Palestine kuwa taifa.
@KingFtpFx The real skills on forex are obtained by you losing first and learning from losses. Are you willing to lose money? Welcome to a world of forex.
@HabiibYahyaa Unateseka sana. Israel 🇮🇱 atabaki daima. Afu jua kuwa israel anapambana na IRGC akiondoa utawala wa kislamu ulochukua iran kwa nguvu 1979 basi anawaachia iran nchi yao. Israel na iran ni marafiki wakubwa before mapinduzi ya kiislamu
@NiskizeMimi@fadhilikangusi Hata israel hana mpango wa kuifuta iran. Bali Islamic regime. Before 1979. Iran na israel ni marafiki na iran iliitambua israel. Mapinduzi ya kiislamu yakaingia na kutangaza kuifuta israel kwenye uso wa dunia. Israel ana pinaga na IRGC sio iran. Muelewe hili
@mkalidayo30@fadhilikangusi Hata israel hana mpango wa kuifuta iran. Bali Islamic regime. Before 1979. Iran na israel ni marafiki na iran iliitambua israel. Mapinduzi ya kiislamu yakaingia na kutangaza kuifuta israel kwenye uso wa dunia. Israel ana pinaga na IRGC sio iran. Muelewe hili