This boy will definitely regret this decision in a few years. ๐คฆ๐พโโ๏ธ๐คฆ๐พโโ๏ธ Sometimes, you donโt realize the value of what you have until itโs too late. ๐ญ
GEN Z huyu anaitwa REHEMA MWAKANGALE alikua mtangazaji wa ITV huyu alifumbua watu kuwa watangazaji hawalipwi vizuri, sababu alipofariki iligundulika hakua na bima wala NSSF na hakua na akiba BENKI, Msione wakina KITENGE wanaISHI vizuri wapo waliosota kwa ajili yao
Hata saa mbovu husema ukweli angalau mara 1 kwa siku!
Mnakumbuka 2020 alikuwa anaimba Hossana kwa CCM
Sasa nadhani kuna jambo limempata kaona yale tuliyoyasema siku zote!
Ndo maana mi nasema kila siku #TutaelewanaTu
Huyu Mwanadada Anashusha balaaa zitoo oya sio poa, my Brother bookmark hii uwe unaskiliza Mara kwa mara especially kama hujaoa au umeo mmeachana yaani kama upo single Bookmark hii.