@Phbhimself Unamaanisha ni kwa propaganda za mwl. Raia wale wema wa Kagera waliuawa ili mwl atimize ajenda yake?
Pia ni mwl mwenyewe alisimika bendera ya Uganda maeneo ya Kyaka ili atangaze Vita kuwa Iddi Amini Dada amevamia nchi yake?
Weka tathmini ya kina kukidhi mahitaji ya wasomaji.