Kila Kitu Kinasubiri Wakati Wake,Ua Halichanui Kabla Ya Wakati Wake,Jua Halichomozi Kabla Ya Wakati Wake.
Ambalo Ni Lako Litakuja Tu Kwa Uwezo Wa Mwenyezi Mungu.✍🏼
#TajiriLaKihaya
Binafsi napendekeza KANUNI Zifuatwe bila Upendeleo…
TPLB wawe wakali Kwa hili mno…
YANGA Atozwe Fine yake 1m - 5m….
SIMBA Kwa kususia kuja uwanjani…
Yanga apewe point 3 na magoli matatu kama Kanuni inavyosema…
Kamishna wa mechi na Viongozi wa Uwanja wahojiwe na kupewa adhabu stahiki endapo watakutwa na makosa!
Ligi iheshimiwe… hauwezi vunja kanuni kisa mwenzako kavunja kanuni…kila mtu apate anachostahili Kwa hili!
TFF msilifumbie macho hili…
Wiki nzima Simba inajiandaa na Mechi, Leo inakuja Kughaili kisa mazoezi ya Usiku tuu, Huu ni upuuzi aisee, ni aibu kuona Simba fans Unaunga Mkono Huu Ujinga, Ukweli Usemwe atakama ni mchungu.