#ATRN2023 Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Alphayo J. Kidata (kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bw. Logan Wont wakati wa Kongamano la Nane la Watafiti wa Kodi Barani Afrika (ATRN) linalofanyika Dar es Salaam 29-31 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi na Serikali kwenye Mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
🔴 UTEUZI
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Boniphace Luhende Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali,Kabla ya Uteuzi huu Dkt Boniphace alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais wa Zanzibar @venusnyota