@Givallo10@CCCZimbabwe@zittokabwe@BitiTendai If you use google translator this language would not sound as rubbish as you think. Swahili is one of the most widely spoken language in Africa.
Dola kandamizi hutegemea nguzo zinazowasaidia kuendelea kukaa madarakani - mf rasilimali watu (watumishi wa umma watiifu wanaokubali kutekeleza dhulma), majeshi na vyombo vya usalama, rasilimali pesa (pesa za umma),
Nguzo hizi hutikiswa na mabadiliko ya kimfumo kama #KatibaMpya
@kigogo2014 Kaka yetu kigogo, sisi huku watu wa kijijini tunakuheshimu sana na tunakuamini, niliposikia unagombanaga na ndugu wengine, nimeona nije nikuombe sana, turudi katika mijadala ya kuijenga nchi. Malumbano hayajengi, chondechonde Kaka yangu.
Yaani hata Sekeni alikuwa na maakili kuliko maviongozi ya Sasa. Nye, hivi inaingia akilini kweli Nye, wanamfukuza mchungaji Gwajima, halafu wanamuacha yule mama mwenye kidada na kitika Doroti. Mbona yule mama analukwale.
“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu#MariaSpaces
@awamisammy Hivi ameshindwa hata kuomba ushauri hata kwa kina January Makamba? Je anajua madhara yake kwa huo uchumi anaosema anapigania pale nchi inapokuwa inasumbua wapinzani? Afadhali hata wangemshauri angoje uchaguzi ili wamsaidie kuiba kura.
@lifeofmshaba@SuluhuSamia Mimi sidhani Kama huyu mama ni yeye anatoa hata maamuzi. Shida ni yeye kutojiamini na kukubali kupotoshwa na kudanganywa na timu ya kina kabudi ambao wanataka kuendeleza ubabe.