@Akiangio2@bright_ludwig Umeme mwingi ndio unateswa mapenzi hayaitaji fact wala logic ni emotion. Ukirudi kazini ukimkuta wife anaangalia tamthiliya kwa huzuni akikwambia fulani kapigwa na wewe unaunga kapigwa imekuaje sio ulete logic zako za kusema hiyo ni tamthiliya husihuzunike
@Adv_innocent Mimi huwa namwambia cheupe wangu leo bila bila huku nacheka huwa ananiambia kesho ipo utapata wahi kurudi, nikirudi nakuta chakula flan kizuri nakibonda baada ya hapo kitakachonitoa ndani vitu vya msingi tu
@master_plan9 Sio kila mda uongee fact kuna mda wa kuongea pumba ili siku ziiende nimejua watu wa uswahilini ndio maana wanapendana kwa sababu wanajali uwajibikaji na hisia kwa pamoja ila tunajitia ujuaji tumekazania uwajibikaji kwa kuzani ndio mapenzo yenyewe inaishia kutulamba tu
@Rehemawilliams1 @master_plan9 Unawezaje kuoa mtu usie mwamini, mimi kuna baadhi ya mafundisho ya kiume yanipite tu ntamwambia vizuri litakalokuwa na liwe
@DanyeMufasa Ni vizuri kujua hamna wa kukusaidia
Ni vibaya kujua hamna wa kukusaidia
Ukijua hivyo na kuishi kwa kufatisha unaweza kuishi kwa amani zaidi kwenye huu ulimwengu.