#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Its sad as a Nation hatuna mijadala ya Elimu yetu tunataka iweje na izalishe watu wa namna gai, Mh Waziri ana table budget ya wizara waheshimiwa wabunge wanayochangia unawaza kama wamemsikiliza vyema mwasilishaji? Tunafikiaje TDV 2050 kamą yaliyoandikwa hatuyajadili Bungenigeni
UVCCM ilikuwa think tank zamani, Ulizia ile ya Boys to Men na walikuwa very equipped with knowledge skills experience wengi wamesoma Cuba na China. Hawa wa sasa ukimuuliza itikadi ya Chama hajui, ukienda kwenye Political Social and Economic transformation discussion hola SOMENI
Kwa nini kila mara.tunaongelea Oktoba 29 tu kana kwamba mauaji yalifanyika siku moja tu wakati wa maandamano? Mauaji hayakuendelea.katika siku zilizofuata bila hata harufu ya maandamano?
@PolycarpMDM@bajabiri Ukishakua kiongozi kazi yako sio kumsaidia watu, badala yake ni kuondoa vikwazo vya kimfumo ili watu wapate Msaada kutoka kwenye mfumo hata kama wewe haupo, mtu Hufa ila mfumo hubaki
Mchawi ni uwekezaji tu, hakuna muujiza mwingine.
Hauwezi kufundisha watoto TEHAMA kwa kuwachorea kompyuta ubaoni halafu ukategemea wawe creative.
Creativity ni zao la kujamiiana kati ya mwanafunzi na learning tool.
Interaction kati ya learning tool na mwanafunzi ndiyo inayotoa fursa ya mtoto kujararibu kile alichofundishwa na kukiongeza kulingana na talanta yake.
Nenda Singapore, China, Finland, South Korea etc., uone wenzetu wanavyohangaika kuwekeza matrilioni ya fedha ili watoto wao wapate nafasi kujamiiniana na tools za kujifunzia na kukuza creativity.
Hauwezi kuchochea ubunifu wala gunduzi katika mazingira ambayo darasa moja lina wanafunzi 100 na mwalimu mmoja anayetegea vitabu 12 tu pasipo nyenzo nyingine yoyote ile ya ufundishaji na ujifunzaji.
Hauwezi kutengeneza creative human capital katika mazingira mayo 24/7 watoto wanakomalia madesa ya Mwalimu ambayo na yeye aliyakopi kwa Mwalimu mwingine.
Hauwezi kutengeneza creativity katika mazingira ambayo njia pekee ya kuchochea ukuaji wa maarifa (learning reinforcement) ni ku-solve maswali ya NECTA.
Hauwezi kukuza creativity katika mazingira ambayo faculty nyingine zote kama vile vipaji vya mziki, michezo, uigizaji, na mengineyo, vyote umevizuia kudevelop kwa sababu ya kuwa busy ku-cover matini ya NECTA.
Creative human capital ni zao la uwekezaji aggressive, sio porojo.
Sasa Tanzania pesa ya kuweka kompyuta, maktaba, maabara, karakana, na vifaa vya michezo ndio hiyo tumeamua kuitumia kugharamia anasa za viongozi kama vile mishahara kufuta ya wabunge na affluence za watawala, unategemea creativity ishushwe na Mungu???🤔🤔
Tutaendelea kulalia kitanda tunachokitandika mpaka tupate akili.
"‘Je, umeua ukatamalaki?’" this verse from the Bible was read in front of Tanzania President Samia Suluhu during the requiem mass of former Catholic Cardinal Polycarp Pengo in Dar es Salaam.