@TheRealEkiswaga@MariaSTsehai Kumanina, Kwan hizo Mali za kwenu?, Mali zote n kodi za wananchi, kwann mnajificha kwenye hizo Mali kama ni hela zenu mmetoa kwenye mifuko yenu
@MMtazamaji@Getrude_mollel@420Cousin@Aduiwayanga Mzaz wako?, samia ni mzaz wako? Mtu anabak anaweza toka nje kuja kusaidia kumtoa firauni,
Mwaka 2008 jeshi la TZ liliingia commoro kwenda kumtoa firauni wao
Tunavyozungumza wanajesh wetu wapo congo kupigana, unavyoona ni kwamba hawana kaz yakufanya? Unasema mtu bak
@Chichi195986654@AthanasErn24128@gidionalex31 @mdudechadematz Kama tunasoma kwenye maandiko ya Biblia Kaini aliwahi kumjibu Mungu shiti
Mwanzo 4:9
[9]BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Sas itakuwa huyu binadamu ambaye sis tunamlipa mshahara, acheni uzwazwa bwana aah
@Chichi195986654@AthanasErn24128@gidionalex31 @mdudechadematz Yeye ni mtu wa kwanza pengine kupata habar kabla ya mdude lakin amekaa kimya
Simiyu waliamua mpaka kuandamana yeye yupo kimya
Bado unataka watu tutumie lugha ya staha kwa binadam aliezaliwa na mwanamke, heeh
Mbona mnatukuza sana ujinga, unataka tutembee tunalamba barabara ili?