@emabilly2001@Adv_innocent Chaaa!! We jamaa bana!! Yaani unadharau nafasi ya coach?? Kuna mchezaji Duniani asomsikiliza coach wake?, mpira ni maelekezo na mfumo aisee sio kufanya utakachojiamulia
@Sirajitz1 Nunua jiko za kuchomea mishkaki ya mia mbili mbili hata 7, tafuta vijana waaminifu 7. Wanunulie mkaa, chumvi mafuta viungo nyama kilo kadhaa na ndizi. Kwa sku unawaambia wakupe elfu 4 tu au 5. Kwa mwezi hukosi laki 8+ mpaka M+
Nchi miongoni league kubwa Africa haina ma referee bora wa kuamua mchezo mkubwa, Refa toka Kenya kaamua mchezo saafi bila shida wala ukakasi. Je, ni rushwa, kutojitambua, uwezo,siasa au propaganda tu??. Mengi ya kujiuliza. Baba wa nyumba malezi ya baba jirani??!! #shame, 🔥kenya
@Elsukay0 Sasaa kaka mkubwa kuna mtu katumwa aende au asiende? Suala si mtu ananufaika vipi bali suala ni unafata nini, ni sawa na shule kulipa ada ili ukaelimike. Kama madini yake hayakuhusu pita hivi achana naye