Kipande cha kitambaa kilibadilisha sura ya mtoto huyu.. Kwa hiyo, kutoa sadaka, kuwaondolea watu dhiki, na kuwaletea furaha ni mojawapo ya njia kuu za ukaribu na Mungu. Dini yetu ni dini ya upendo, huruma na mshikamano.
Dear Brother acha kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume cha kufanya tumia Ndizi🍌+ Maziwa🥛+ Karanga + Vijiko 4 Vya Asali
Hakikisha unavisaga kwenye blender ili uweze kupata huu mchanganyiko, hapo itakuwa Tayari Sasa Kwa matumizi
Kindly Retweet
Wakichakaa namna hii, wanaanza kutumia make-up hadi kwenye makwapa ili kuficha ukweli.
Dada ananukia kama jini wakihindi, ukiomba nae mechi chumba kizima kinanuka Uozo wa panya.
Hawa Tombo akimuaga mumewe, mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sierra Leone, Musa Tombo alipokuwa akiondoka nchini humo kuelekea kwenye michuano ya #AFCON2021📸 Shirika la Utangazaji la Taifa la Sierra Leone (SLBC). Vipi wewe hali huwaje ukiwa unasafiri kikazi?