Hatuko hapa kukatishana tamaa ila tunaambiana ukweli.
Nilichoona juzi na jana baada ya posti yangu ni kwamba kuna watu wengu walidhani sisi wanaharakati tuna belong kwa chama flani, hapana, most of us hatupo na chama chochote, sisi tuko na wananchi.
So, kama jinsi tunavyowakalia kooni CCM bila uwoga wowote na Chadema pia tukiwa na wasiwasi nao tunaongea vile vile…..
Don’t get it twisted, we are not loyal to any party, we are only loyal to the people.
Na tunaongea coz we want the best for opposition sababu a strong opposition is good for the public, hatutaki tufike December tuwaulize wameachieve nini mwaka mzima, alafu jibu liwe ni picha za nyomi. We want concrete results!!!!!!
Dunia ina mambo mengi sana,nachagua kujua mambo ya upande fulani tu,ukiona mshamba kisa sijui ujuacho hiyo ni juu yako,kufanya mambo rahisi najua kiundani kile nilichochagua kukijua na kilete faida kwangu.
Focus on your choices,others don't matter to you.
Good morning fam.
MAANDAMANO YA AMANI JuLY 7 2026….. Maandamano MAKUBWA zaid ya October 29…….
WAUWAJI HAWATOJARIBU KUUA TENA MAANA WAKO SEHEMU MBAYA- WANAJARIBU KU-PROVE DUNIANI WAO SIO WAUWAJI HATA KUZIMA INTERNET HAWATOWEZA. NA WAKIJARIBU TENA USHETANI WA OCTOBER 29, this time dunia itawabeba juu juu
Watanzania tokeni tukomboe nchi!!!!!!
Hizi siasa za uoga hapana aiseee…..
Hatutofika kwa uoga huu. Maandamano ni haki ya kikatiba sio uhalifu.
Mpaka hapa Chadema mnawa demoralize wananchi, bora hata October 29 mlikaa kimya kuliko this time mnayakataa maandamano.
Hapana hatuwezi kufika kwa uoga huu.
🇪🇺 Bunge la Ulaya lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Mwaga moto mwingi wanangu kama madragon.🔥🔥🔥
REPOST 200