@TriciaAbou Hawachekeshi kila game kwao vita yani hawanaga shoo mbovu ukifika pale wakiwa wanacheza ni balaa wanakusanya mashabiki wapya kila siku mastar walikoma sana na timu zao😄
@TriciaAbou Hawa jamaa wanatokea kariakoo ni mabingwa watetz wa lile kombe msimu uliopita hadi wanafika fainali hawakuwahi kupoteza game walijipanga haswa na upinzani walikutana nao kweli hd leo hawajapata sabab maalum kwann wametolewa ila za ndan zinasema sabab wanatwanga san footbal jamaa
@assengajrr Huez kutoka darasani na vitu vingi kiivyo kwa mda wa miez mitatu plumbing ina elimu pana sana ndugu miez mitatu labda utaambulia introduction kozi ndefu ndo inafaa kwa anaehitaji naongelea uzoefu sababu mke wangu alisomea hii fani veta changombe
@assengajrr Kwa miez mi3 kwa anaeanza kujifunza ni michache sana af plumbing haipo hivo unavofikiria kwamba utmalza utapat jina kwa haraka hvo itakuchukua miaka hata miwili kwanza uzagae mtaani kujifunza kingine labda uwe ushafanya kazi nying mtaani ila kama ni mara yako ya kwanza kujifunza