@kirigitim Hivi kaka huwa unatumia vigezo gani kuwaweka hao?
Isamilo gari zake nyingi zina mkataba kule Angro Ashanti kama blue coat kule GGM hata hayo unaweza shangaa ana pelekea wafanyakazi wa Angro Ashanti GGM.
KATARAX huwezi linganisha na matawi madogo madogo