NIKUKUMBUSHE JAMBO MOJA!
Ukimpoteza mtu sahihi kwa uzembe wako, ni sawa na kupoteza meno ya mbele,KAMWE huwezi kuwa na tabasamu kama awali..!
KUWA MAKINI💉🙌
Anayekupenda na kukukubali bila ya kutegemea kupata chochote kutoka kwako ni mtu MUHIMU sana,
Ukikosea ukampoteza kumpata Mtu mwengine Ni SHUGHULI PEVU.!
Unapomuondoa Mtu kwenye Maisha Yako usijali kwa kile anachozungumza kwa Watu kuhusu wewe, Kwasababu kwa namna yoyote ile atajitahidi sanna kuzungumza maneno ambayo yatamfanya yeye aonekane MWEMA na wewe uonekane MBAYA.
KATIKA MAISHA YANGU...😶
Nimeishi😉
Nimependa❣️
Nimepoteza💔
Nimekosa😪
Nimeumia🤮
Niliamini 😎
Nimefanya makosa🥲
Ila zaidi ya y0te NIMEJIFUNZA 🙏
Na nimeelewa vipi napaswa KUISHI...!
Unapochagua mtu wa kuanzisha nae familia sio tu kuhusu mapenzi pia unakuwa umechagua msiri, mshauri, mlezi, mtaalamu, mwekezaji, mwalimu bora na mshirika wa biashara.
Chagua kwa Hekima.👻