@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Me nashauri mamlaka ziuzulie kwenye ma-club kuna watu wanafanya matumizi Kama hatokuja Tena yani…ukifiria kWa ndani kidogo🧐pesa ya kuipata kawaida Huwa hainaga sifa za matumizi ya hivyo wazee! Yani tukisema tusibishane kila mmoja ataelewa nnacho manisha.
Kwa macho mazuri, kula karoti 🥕
Kwa ngozi nzuri, kula limao🍋
Kwa utumbo mzuri, kula kabichi 🥬
Kwa tezi dume nzuri, kula nyanya 🍅
Kwa figo nzuri, kunywa maji 💦
Kwa moyo mzuri, kula parachichi 🥑
Kama unakohoa, kula nanasi 🍍
Kama una msongo wa mawazo, kula ndizi 🍌
Kama unaharisha, kula nazi 🥥
Kwa unyevu, kula tango 🥒
Kwa kinga imara, kula mayai 🥚
Kwa mifupa imara, kunywa maziwa 🍼
Kwa seli nyekundu zaidi za damu, kula mchicha 🥦
Kwa kuwa na nguvu kwenye tendo la ndoa, kula tikitimaji 🍉
Kwa Ajili ya wengine, Repost🔁
@Rydx_017 Mzee huwenda Tajiri akawa yupo sahii cos! Mfano mdogo mapokezi unayopokelewa ww nyumbani na mama watoto wako it’s different nikienda Mimi! hivyo ni vyema imebainika kuwa kuna changamoto…lakini sio Sawa kumsema Kana kwamba Ana piga debe you never know 😎
@bahati98@Northern_thugg Ila kizazi hiki sisi wajuaji sana! ndio maana mambo yanakuwa magumu now days,Tujitahidi kupunguza hali ya kutaka kujua jua mambo…ushauri kwa hili tuuy hata tuvitu vitu vingine😎