They cant tell You that because neither of them knows😂 which individual stock will be a 100% sure bet especially for a HODL. Even warren Buffet the best Longterm value investor the world has seen gets wrong sometimes. There is no such thing as a sure bet in the stock market.
3.
Haimaanishi kuwa wao ni wahuni no wapo pale kwa ajili ya kusaidia the few committed discplined ones. Hivyo ndivyo ilivyo kwenye michakato yote yakimaendeleo.
Poor participation = poor results.
1. Hivi GYM ni scam?
Ingia Gym yoyote mjini observe haswa mwanzo wa mwaka january (zile new year, new me) 🤡 80% ya gym subscribers hawatimizi malengo yao ya mwili.
Baada ya miezi 2–6 bila matokeo, wanaacha wanasema:
“Gym haifanyi kazi” na visingizio vingine kibao.
2.
Watu wengi wanaojiunga na gym hawana discpline ya:
i. Diet sahihi &
ii. Consistency workouts
Wamiliki wa gym, walimu wa mazoezi, wauza suppliment wanalijua hili na pesa ya mtu asie na discpline wataichukuwa ni biashara ile.
@iam_ryzaq Facts That time with just basics mtu anajiita Trading Guru no real payouts nor trading consistency. Watu walikuwa wanalishana matango pori tu.
1. Unfortunately, Forex Trading illingia bongo kwa mgogo wa Affiliate influencers wa SA, wakawauzia ndoto za utajiri wa haraka.
Vijana ambao Forex iliwapiga makonzi miaka hiyo Ya 2016-2020 wakagive up, ni matokeo ya Get-Rich mindset iliyozaa Overleveraging wakablow up. 👇
7. Get rich quick mindset & over leveraging imeua ndoto za traders wengi sana Duniani. Kucheza na moto wa leverage za 1:2000 trying kuflip accounts unachoma kabla ya kujipa nafasi yakujifunza. Kama unaona Trading is not for you acha but stop spreading nonsense for engagement.
6. Kulikuwa hakuna right guidance waliokata tamaa baada ya kuchoma waliquit.
wengi wakasema wametapeliwa a few Wakaendelea kufind out. kama ule msemo unaosema the more you F*** around the more you find out. #forex