Mwigizaji Staa, Yvonne Cherrie maarufu Monalisa @monalisatza amezindua tuzo za WISAC zitakazotolewa kwa Wanawake mahiri Kwenye Tasnia ya Michezo, Sanaa na Utamaduni ambapo ugawaji wa tuzo hizo hizo utafanyika November 03,2023 zikiwa na categories 25.
Tuzo hizo ni pamoja na tuzo ya Kiongozi wa kike mahiri kwenye Vyombo vya Habari, pia kwenye michezo, muziki , filamu n.k.
Monalisa amesema watatumia mitandao ya kijamii kuwapa Watu nafasi ya kupendekeza ni nani anastahili kupewa tuzo hizo za heshima.
#MillardAyoENT
Umepelekwa sehemu kula, unaambiwa agiza chochote ukipendacho. Inakuja Menu, unaanza kulalamika kuwa chakula chao ni gharama. My dear, usirudie tena kufanya ujinga huo, kwani aliyekupeleka hajui bei za hapo? Utakuwa unakimbiwa
Mwanaume mchafu anakera, lakini mwanaume msafi kupitiliza anakera zaidi. Raha ya mwanaume awe msafi kidogo na awe na kauchafu kidogo, hata mwanamke unapata kazi ya kufanya.
Kati ya wanawake na wanaume, ni kina nani wanaongoza kwa kulala bila kuoga?
Mimi nahisi najua jibu, ila naogopa kusema kwa usalama wangu,lakini mkiniomba saaaaaana naweza kusema.
Kuna muda usijiwaze wewe, kuna muda hebu waza tabia zako ambazo unazionesha kwa kwa jamii zina ATHARI kiasi gani HASI au CHANYA.
Usiseme tu si nafanya kwa ajili yangu, waza mbele kidogo na usiwe mbinafsi sababu kwenye jamii uayoishi kuna watu. Tusijisahau.
Nimewaza kama MAMA.
Wala usimlalamikie mtu, amka kajaribu tena kama ulivyofanya jana.
Waliopo sio lazima wakupige TAFU, pengine wapo kupiga na stori wakati umepumzika.
Maisha ni wewe Mwenyewe🔋
Jana nilipata heshma ya kuwasilisha mbele ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya @ccm_tanzania Taifa mapendekezo ya Wizara ya Afya ya kutunga Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Lengo ni kuhakikisha watanzania wanapata huduma bora za Afya bila ya kikwazo cha pesa.
"Tunaamini baada ya miaka kadhaa kila Taasisi ya elimu itaona wajibu wa kuhimiza suala la upandaji miti na ndio maana tukaanzisha kampeni ya SOMA NA MTI"
#SomaNaMti2022
Kuna asubuhi nyingine itakuja na itakua kama ile asubuhi tulowahi kuamka pamoja na nyuso zetu za Tabasamu.
Mungu atatujalia kama alivyotujalia zamani, kama alivyofanya awali atatupa tena furaha alotupa mwanzo.
IN SHA ALLAH
Hadhi yako ni vile unajitokeza mbele za watu, ni vile watu watakuelezea kipindi haupo.
Hata wakikusema vibaya kisha wakaweka neno LAKINI basi hiyo lakini ndio hadhi yako itunze acha yale mengine wanayokusema nayo.
Tengeneza hadithi nzuri ya tabia yako, usijali ya walimwengu.
Kinachotutofautisha ni ile hali ya kuhimili kuficha matatizo yetu kwa watu ambao tunafikiri wana uwezo wa kutusaidia.
HESHIMA ya mtu hupimwa kwa uvumilivu wa kuzuia kuonesha shida, furaha au nguvu yake.
JIHESHIMU📌