@gmail My Gmail can't been recovered
due to, too many failed
attempts, I have tried after 24
hours same
I have tried to login in gmail after suddenly wiping my mobile,
unfortunately I forget my password , while I tried to recover with
[email protected]
My email
@FKihamu Farhan Kihamu atakimbia kwa hiari kwenye Tigo Zantel Zanzibar International Marathon, akiwakilisha kizazi kipya cha vijana wanaoamini kuwa hakuna kinachoshindikana. Safari ya umbali mrefu, inayopitia fukwe za Zanzibar, sio tu mbio bali ni ushindi wa mwili na akili.
#CaptionThis
@VodacomTanzania@Vodacom Nishatuma toka jana naishia kuchati na BOT lenu badaye naambiwa subr tunakuunganisha na mtoa huduma lakini hamna chochote Toka Jana so naomba unisaidie hapahapa
@VodacomTanzania Hivi mtu ukiwana shida voda huwezi kupata huduma maan namba 100 maneno ni mengi hamna option ya kuongea na mtoa huduma toka juzi naangaika tuu