Kuna wakati taasisi huwa zina over react kwa mambo madogo. Tamko la UDASA lime ENDORSE uchaguzi huu. Linaamini kuna uchaguzi ila kuna shida limezionyesha na kushauri zifanyiwe kazi baada ya uchaguzi. CCM imeahidi Maridhiano na Katiba Mpya baada ya uchaguzi. No problem at all
Biashara ya KUUZA MAITI ni USHETANI. Licha ya KULIPIA MAITI 17 za waliokuwa wakazi wa KIVULE, nitaendelea KULIPIA MAITI zote โZINAZODAIWA MOCHWARIโ, bila kujali kama nitakuwa MBUNGE WA KIVULE au vinginevyo.
Ukiwa na NIDA ukaomba Digital Card ya uanachama wa mbogamboga kwenye App yao, mfumo unavuta taarifa zote za NIDA, ikiwemo picha.
Wafuasi wengi wa veggies picha zao NIDA na kadi ya uanachama zinafanana.
Nida, nec, veggies exposed.
Veggies wamechoka wanatoa dying declarations.
Msimamo rasmi wa Chama chetu kufuatia barua ya Tume ya Uchaguzi kukataa kupokea fomu za Mgombea wetu wa Urais ndg Luhaga Mpina. Tutapigania haki yetu mpaka mwisho. Hatuyumbi wala kuyumbishwa. Hatupeperushwi, TUTAPEPEWA!
โ๏ธ JUST IN ~ ๐ก๐ฒ๐ผ ๐ ๐ฎ๐ฒ๐บ๐ฎ ~ tayari amewasili nchini Misri ameungana na Simba SC, anaendelea na programu zingine za mazoezi.
-
โ๏ธ Simba SC itaposti picha za mazoezi na Maema ataonekana kwenye picha hizo.