@DullahTheking2@monicentrozone
Chakwanza we ni star afu Vintage,
Cha msingi maintain social distance
If udnt know now you,
Moni is really cassanova
Na dem anakibajaj kama nana fashanova
Muache kicheche kidimbwi aka take over,
Mtakutana jtatu marejesho na vikoba
@monicentrozone
Mziki sio lazima town watu washatokea MOTIKA....!
kesho jiwe la wiki, leo nadandia NGORIKA..!
hizi barz @monicentrozone aliandika sana hapa, kama sio mdau wa game ni ngumu kupita na hii code