Inasikitisha sana kumuona mfalme wa nyika katika siku zake za mwisho π¦
βNilikaa mita chache kutoka alipokuwa amesimama kwa miguu tu, nikafumbua macho na kuanza kutazamana naye takribani lisaa lizima roho ikitoka na kuuwacha mwili wake. Nilitaka tu ajue kifo ni cha wote !π₯π₯π₯