Mithali 24:33-34,
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo, umasikini wako huja kama mnyang'anyi, na uhitaji wako ni kama mtu mwenye silaha.
It's supposed to be held every 30 years, so it was supposed to take place in 2019.
But they didn't do it in 2019 because Ronaldo was favourite to win it after winning the UCL 3x in a row 😂😂😂
Bora mimi SATIVA najulikana kijana wahovyo nina matusi, sina heshima labda kwa sifa hizo nikose sifa za KUSAIDIKA.
TWAHA kijana wa CHADEMA, Chadema wanajua Katibu wao mstaafu wa BAVICHA yupo hatarini mwaka sasa wamekaa tuu.
Mna vyama washirika dunia NZIMA mnashindwa kusaidia wanachama wenu?
Ilikuwa kwa ndugu yangu SOKA MWAKA JUZI, Ikawa kwa ndugu yangu MDUDE MWAKA JANA, Sasa ndugu yangu TWAHA.
Hamshtuki????????
Sisi wengine tushakufa mnaweza kutupuuza, wafikirieni watu wenu. Leo ASSET kama TWAHA mnaipoteza kirahisi tuu.
SHAME ON YOU CHADEMA.
#FreeTwahaMwaipaya
A centre back is playing at right back.
A right back is playing at left back.
A central midfielder is playing as a 10.
A 10 is playing on the left wing.
A right winger is playing as a striker.
Manchester United Football Club…