Utu lazima tuutangulize! Naamini Dr Mpango hajafanya kwa hiari hii press conference na kajikaza SANA! Mlichomfanyia ni UKATILI na any effort “kujibu mapigo” imebuma! Acheni mara moja kutesa wagonjwa! 😠😠
Naomba familia ya Dr Mpango waingilie kati! Mzee apumzike! Terrible! 😭