Kitu pekee siwezi kusahau nilitembea kutoka muhimbili hadi kkoo na posta huku nikiwa nimesahau gari nikiwa naenda kutafuta catheter kwaajili ya dialysis. Kila duka nililoingia wakisema ya watoto hakuna nilikuwa naangua kilio kama mtoto mpaka baadhi ya wauzaji waliamua kunitafutia
Tazama T Shirt ya Baba๐ฅน
Binti amevaa johoโฆ! Kwake Baba ndiye shujaa wake!
Naweza nisijue sana kuhusu Mama yake lakini unahitaji dakika ngapi kujua moyo wa Binti!? Anatamani kulipa fadhila kwa babaโค๏ธ
Wadogo zangu mliopo vyuoni na mnaoenda vyuoโฆ Wazazi wana matarajio makubwa๐
โJuu leo mko na shida mmekumbuka Wananchi wa Chiniโ
โMkona pesa mtupee chakula tushibeโ
Huyu ukimzingua anamalizana wewe mkono kwa mkono ๐๏ฟฝ
โSekta ya muziki ni ya giza sana.
Nyote mlishuhudia jinsi walivyonilivyoshusha kutoka kuitwa bilionea hadi milionea kwa sababu nilikataa kufuata wanachotaka.
Niko tayari kuwa maskini lakini niishi kwa amani, kuliko kuwa bilionea asiyeweza kulala usiku.โ
โ Ye