The only way to do good in life is to live down low with a small circle: the less people you surround yourself with, the less conflicts you get attached to. The more people you surround yourself with, the more conflicts and snakes you always will be with.
Kesi ya Mirathi ya Mali za Marehemu Zacharia Hanspope humo ndani watu wameandika sana
Bank wameruhusiwa kuendelea kuuza mali za Marehemu Hanspope ambapo ulichukuliwa mkopo wa Bilion 7.4.
Haya mambo haya ๐
๐๐ฟ
I work at NMB โ, I Work at The Most Profitable Bank In ๐น๐ฟ, NMB โ
Iโm a Finance Manager at Sportpesa Tanzania โ, I manage Sportpesaโs Finance where we transact over 700 Million TZS every day in Tanzania โ
Naomba Kazi ya Kukutafutia masoko โ, Naomba Nikusaidie kupata wateja wapya 100+ โ
Kazi Yangu Ni Kufagia Ikulu โ, Kazi Yangu Ni Kuhakikisha Ikulu Ipo Safi Wakati Wote โ
Nauza Karanga โ, Nauza Virutubisho Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume โ
Bonus
Mimi ni dereva wa boda boda โ, nawasaidia watu kuepuka foleni za Dar na kufika wanakokwenda kwa haraka na kwa unafuu โ
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu โ muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising