@mackphason Africans hate themselves so bad🫠🫠
Shida kila mtu anasema ooh at ni propaganda za wazungu za kutugombanisha🫠 our IQ should really be examined, sio msomi sio kilaza, Africans tuko na roho ngumu sana, kwa maafrika wenzetu😃😃
Moja ya kitu nimefurahi ni kuona Kocha wa Dar City kumuamini kijana wa Kitanzania Sisco George kumuanzisha First Five.
Kuanza First Five BAL siyo jambo Dogo, Trust the Process
I dislike this guy and his Government so much because they do WORSE than the people he's talking about.
America will mine your minerls and pay for it.
These dudes mine your minerals, DO NOT PAY FOR IT, then tell you they are not mining your minerals but trying to "liberate" you from those who mine it.
A fool.
A new jihadist group has emerged in #Iraq, Ajnad Beit al-Maqdis, which today released its first statement announcing its allegiance to al-Qaeda. The statement also calls on Iraqis and Syrians to wage jihad against the “Crusader-Zionist” aggressors, referring to the campaign launched by the US and Israel.
Ukatili humwibia msichana utoto wake.
Upendo, ulinzi na mshikamano humrudishia maisha.
#MsichanaCentre si mradi ni ahadi ya taifa kwa mtoto wa kike.
Tuijenge pamoja.
Changia hapa: +255 754 251 022 ~ Msichana Initiative
@MsichanaUwezo
Chuki dhidi ya Ukatoliki sasa inaonteshwa wazi na watawala dhalimu na wezi wa madaraka. Watanzania waliikataa CCM na mgombea wake aliyejiteua kugombea uraisi kinyume cha katiba ya chama hicho. Kilichotokea mnamo na baada ya tarehe 29 kiko wazi uchaguzi haukufanyika, Watanzania waliandamana. Polisi Kwa amri ya mtawala dhalimu wakawapiga risasi na kuwaua Watanzania wenzetu. Amri haramu ya kutotoka nje ikatolewa na mtandao wa intaneti ukazimwa. Hivyo inamaanisha kuwa isingewezekana kwa namna yoyote kwa Tume ya Jacobs Mwambegele na Makamishina wake, wasio na chembe ya haya Wala soni, wangeweza kupata na kutangaza matokeo ya aina yoyote ile. Ajabu yake wakamtangaza mgombea huyo wa CCM eti kashinda kwa asilimia 97.8%!
Waangalizi wa AU, SADC, na wengine wa kimataifa walisema wazi kabisa kuwa hapakuwepo na uchaguzi huru na haki. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) nao wakapaza sauti juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hilo kwa watawala haramu na dhalimu ikawa kosa
Kuambiwa wameua maelfu ya Watanzania wakaamua kufadhili mgawanyiko wa udini nchini na kuanza kuliandama kanisa Katoliki kwa Kila aina ya vichambo, mipasho, mamluki na wacheza vigodoro. Hii ni hatari kwa mshikamano na utengamano wa kitaifa.
Watu wote wenye dhamira hai ni wakati wa kupaza sauti na kukomesha ushetani huu.
#BREAKING: AMNESTY YAFICHUA UKATILI WA KUTISHA WA VIKOSI VYA USALAMA TANZANIA
Shirika la Kimataifa la Amnesty limetoa ripoti nzito ikieleza jinsi vikosi vya usalama vya Tanzania vilivyotumia ukatili na nguvu kupita kiasi vilivyosababisha vifo vya mamia ili kukandamiza maandamano ya uchaguzi mwishoni mwa Oktoba na mapema Novemba 2025.
Kulingana na Shirika hilo, Mamia waliripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, huku miili ya wahanga ikiondolewa kwa siri na familia zikibaki bila majibu.
Shirika hilo linasema risasi za moto na mabomu ya machozi vilifyatuliwa moja kwa moja kwa waandamanaji na wapita njia wasio na hatia, huku manusura wakinyimwa huduma za afya na wengine wakipigwa na kukamatwa.
Katibu Mkuu wa Amnesty, Agnès Callamard, alieleza kuwa ukatili huo ni wa "kutisha na haukubaliki" huku akitaka uchunguzi wa haraka kuwakabili wahusika wakuu kufanyika.
Vilevile Amnesty imeibua mashaka makubwa dhidi ya Tume Huru ya Uchunguzi iliyobuniwa na Rais Samia Suluhu.
“Kuundwa kwa tume ni hatua ya kwanza kati ya nyingi zinazopaswa kufuatwa ili kuhakikisha uwajibikaji. Mamlaka sasa lazima zihakikishe kuwa uchunguzi wote unafanywa kwa uhuru, kwa kina na kwa haki. Hakuna mtu anayepaswa kulindwa dhidi ya sheria: wale waliotoa amri, waliowezesha na waliotumia nguvu zisizo halali lazima wawajibishwe bila kujali nafasi yao. Kila familia inayohuzunika inastahili majibu, haki na fursa ya kudai fidia. Chochote chini ya hapo kitakuwa ni juhudi za kuficha na kupamba makosa,” alisema Agnès Callamard.
Amnesty inasisitiza kuwa hakuna aliye juu ya sheria na familia za waathirika zinastahili haki na fidia