Kuna mwanamke atakuja kwenye maisha yako na hatataka ubadilike kwa ajili yake.
Atataka ukue.
Atataka utimize malengo yako.
Atataka uwe karibu na Mungu.
Atataka uwe version bora ya wewe mwenyewe.
Huyo ni tofauti na wengi.
Ukimpata TULIA .
Because behind success stories nyingi kuna:
Years of pressure.
Silent pain.
Disappointments.
Loneliness.
Na moments za karibu kukata tamaa completely.
Lakini sisi watu wa nje huwa tunaona mwisho wa movie tu.
Hakuna Kitu Kitakupa NGUVU
Kama Kuanza KUJISOMA.
( STUDY YOURSELF)
• Namna Unavyozungumza
• Namna unavyo React
• Namna Unavyovaa
• Namna Unavyofikiri
• Mazingira Unayokaa
• Watu una engage nao
• Vyakula unavyokula
Siku Kaa Chini , Anza
Ku-analyze Kila Kinachoendelea
Kwenye life Lako.
( Jifunze Kujihusu WEWE )
…
Hii Nimefanya for- two- years.
Nikaja Kuangukia Kwenye MEDITATION.
Take Your Power Back!
…
I AM: ^Abracadabra^
Wanajua:
• Kuahirisha Mambo Kunawarudisha Nyuma
• Kutumia Muda Mwingi Kwenye Simu Kunapoteza Muda Wao
• Kukaa Na Watu Wasiofaa Kunawavuta Chini
Lakini Baada Ya Muda...
Wanajikuta
Wanarudia Tena.
Na Tena!
...
FRANCIS | ABRACADABRA