African parents are very dishonest. Kuku zangu kule ocha hazijapita tisa tangu last year bwana. Kazi yao ni kuniambia nitume chakula ya kuku. Nataka niendee hizo kuku niziweke kwa balcony hapa Kasarani nijilishie. I know they have been eating my eggs