Kwa hiyo mtakubali huyu ndo awe Rais if kimama asiponyanyuka? ๐ Kweli mnajiita vyombo vya ulinzi na usalama na mnajua madudu yake mmekaa tu!?
Nchi tutaikomboa lazima ila itabidi mje mtueleze mengi!
Madilu naye CCM wanataka atoke maana ni next in line kwa mujibu wa Katiba baada ya Makamu - alafu wanapanga watuletee Bashite?
Thubutuu!
Sisi wenye nchi wananchi ndo tutaamua nani awe Rais na tunajua tunamtaka nani! Hakuna hata mmoja wa hii serikali haramu anayefaa!
Siku mkimtangaza huyu Rais ndo ishara ya kuanza maandamano ๐ฅ๐๐ฝ
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
@officialshakuu Uhh mpaka machozi yamenitoka haki mdada utatumikia wewe na mama yako mlichokipanda kwa mtoto wa mtu,,uhh kabla ya kuwaza mali fikiria kuhusu tunavyohangaikia na kupambana navyo kila siku ni bure tunaondoka na kuviacha hapa,,hii mtaish nayo kila siku
@officialshakuu Dada huwenda kweli ndoa haina maana kwako,ila nikwambie hao unawaona wanafuraha kuna nyakati za upweke pia wanapitia wakitamani kuwa na mtu hta wa kuzungumza nao kitandan,heshimu ndoa,toka kidogo kakae mahali mwezi mmoja bila mawasiliano na mumeo utagundua kila kitu kinaumuhimu
@hancymachemba Pole sana na hongera sana,,Mungu wetu ni mwaninifu sana hasa tunapoweka imani yetu kwake,,,Mungu amtunze kijana wako,,aloo ila nimesoma mpaka namaliza na machozi yamenitoka,hongera sana kwa imani kubwa mbele ya muumba wako