Are you a small business owner and you want to grow big? Here is the where you belong...the platform that will make your business grow. So share you product...
Jeshi la #Israeli limetekeleza mashambulio zaidi katikati mwa jiji la #lebanon , #beirut , wakati huu pia likiagiza raia kuondoka kusini mwa mji huo ambao inasema inapanga kulenga vituo vya kundi la ##hezbolláh.
Haya yakijiri, rais wa #iran , #MasoudPezeshkian
⚡️Sakata inayomhusu Yevgeny Prigozhin, aliyekuwa mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aligeuka kuwa muasi, imechukua mkondo usio wa kawaida.
Mkuu huyo wa zamani wa kampuni ya kibinafsi ya kijeshi ya Wagner, anayejulikana kwa tabia chafu na ufalme mkubwa wa
💣Marekani iko tayari kuipatia Ukraini kifurushi cha msaada wa kijeshi ambacho kinajumuisha mabomu kadhaa.
Mabomu ya vikundi ni mikebe iliyo na mabomu mengi madogo ambayo yanaweza kurushwa kutoka kwa ndege au kurushwa kutoka kwa majukwaa mbalimbali.
⚡️The International Criminal Court's chief prosecutor demanded faster action to bring justice for the Rohingya and called for the world's attention to remain focused on the ongoing crisis.
During his visit to Cox's Bazar, Bangladesh.
VIJANA MSILALE BADO MAPAMBANO.
Wakenya waliojitokeza katika maandamano leo kutoka viwanja vya Kamukunji hadi katikati ya jiji la Nairobi wakipinga sheria mpya ya fedha iliyopandisha/kuanzisha kodi kwenye bidhaa na huduma mbalimbali.
#moshicityupdates#nairobikenya#nairobi
Idadi ya watu wanene nchini Rwanda imeongezeka kutoka asilimia 14 mwaka 2013 hadi asilimia 18.6 mwaka 2022, kulingana na utafiti wa hivi punde wa serikali uliotolewa hapo jana (Ijumaa).
Vikosi vya kupambana na madawa ya kulevya kwenye pwani ya Marekani Kutokana na mbinu nyingi zinazotumika kusafirisha madawa ya kulevya kuwa za siri,walifanikiwa kukamata NYAMBIZI yenye shehena ya dawa za kulevya,Chombo hichi ni Moja ya vyombo vinavyopita chini ya maji baharini
Takriban magari 49 yalishika moto katika mji wa uchimbaji madini wa Jwaneng mwendo wa saa 1:30 mchana hivi leo (Jumapili) kusini mwa Botswana, ambapo wamiliki walikuwa wakihudhuria mbio za Toyota Desert 2023.
#botswana