Unatafuta NJIA RAHISI ya kupata BRAND DEALS kutoka makampuni makubwa kupitia social media?
Hizi ni baadhi ya ideas za content za social media (Instagram, TikTok, X, Youtube) zenye UENDELEVU ambazo zitakufanya uonekane na kuvutia brands kubwa! UZI π§΅π #MadiniYaGill
THREAD π§΅: Kama upo kwenye changamoto ya kutafuta kitu gani uuze online hata kwenye duka lako na kikupe faida.. Kabla hujapoteza muda wala mtaji wako...
Hizi hapa ni njia ambazo hua natumia nikiwa natafuta bidhaa za kuuza online... Nimeandika kwa kifupi tu.. #MaokotoOnline ππ
Kazi za Graphic designs miaka ijayo zitaanza kuwa ngumu! hili Grok la Elon Musk unaliandikia tu logo yako unataka iweje linatengeneza chap sec 30 linashusha picha za sample ππππ
@Oumar_bulla@Oumar_bulla unajua life la social media ikija kweny maisha halisi ya kila siku wew si umepita eatv na media nyingne je umejenga? trust the process kaka