@tanescoyetu Umeme hakuna wilaya ya bagamoyo mkoa wa pwani ktk kata ya Nianjema wiki sasa, na hta hamtuambii chochote, shuhuli zetu zinazohusiana na umeme zimesimama wiki sasa, sijui mnataka tukale wapi? Mtoage taarifa tujue, Endeleen kuota treni za umeme 😈😈
Muheshimiwa anasema watu tunapostipost tu vitu tusivyovijua, sasa km unavijua si utufahamishe,ww ndo dereva wetu zungusha usukani tufike salama,sisi bado tunahoji hizi Tsh 1.5 Trillion zipo wapi? #CAGReport#ChangeTanzania
Tanzania yetu ni moja tusikubali watu wachache wakaiharibu,tusikae kimya kwa mambo ya kipumbavu yanayotokea,tusiwakalie kimya viongozi wanaokurupuka, tukosoe na tusifie pale inapobid hasa vijana tuache uogaa sisi ndio #ChangeTanzania#HappyBirthday to me.. 🙇🙇
@Nyategajr@bbcswahili Kwan ww unajua dhumun la maandamano ni nn?,we mwenyew unaonekana umeshiba maisha mazuri wanayokupa unaowatetea, Tz sio salama kweli kila kukicha matukio ya ajabu au ww Unaish Tz gan?? #ChangeTanzania ,tupende mawazo tofaut na sio kila siku tupende kusifiwa tu haitotujenga kamwe.
Hizi Mahakama za bongo siziamini tena siku hizii, kwan hakuna Mahakama nje ya Tanzania ambayo unaweza ukashtak?, hii kesi ya #AbdulNondo sielewi wanavyoipeleka it's like Mahakama wamepewa oda tu,km ipo bora waamishie huko hawa jamaa siwaamin! sad 😔
#ChangeTanzania
Kindly RT. There might be a religious leader on your TL | Tafadhali RT. Huenda kuna kiongozi wa dini kwenye TL yako
“Barua Yangu Kwenu Viongozi Wa Dini Tanzania: Pambaneni Dhidi Ya Udikteta” @Chahali https://t.co/9GMZkMt5rh
Tanzania's president fired two bureaucrats on live TV because they couldn't remember details of their budget. Magafuli's growing authoritarianism is proof of the danger of constitutions that concentrate power in the president https://t.co/kQBBi7K9ph