Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilipata mtu. πππ₯π₯. Glad seeing you doing justice to the department, keep the good work alive. #MamaYukoKazini cc @venusnyota
Rais wa JMT, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi katika Jengo la Tiba ya Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda (KCMC), Ujenzi huu unaimarisha huduma za kibingwa za matibabu ya nchini na kusogeza huduma za afya karibu na wananchi wa Kanda ya Kaskazini.
Awamu ya Sita inapoanza kipindi cha pili, haya ni baadhi ya malengo makuu ya Serikali;
π Kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani.
π Kulinda amani, usalama na utulivu.
π Kuimarisha ustawi wa Watanzania.
π Kufungua fursa zaidi za ajira na biashara.
#MamaYukoKazini
Tangu kampeni ya kum-unfollow Diamond ianze way back kipindi cha JPM, leo angekuwa na followers 0. Hawa wajinga hizi siku mbili hata wameshindwa ku unfollow hata 1m. Usenge.
KILICHOWAKUTA WANASTAHILI
Waandamanaji wakiwa wanaandamana kwa amani kudai HAKI.
Sasa huyu mwenye kibaragashia Yarrabi π na jezi ya Simba π
hawa wakombozi kazi kwelikweli
Mwaka 1961 hadi Aprili 2025 umeme wetu ni megawati 4,031.
Ndani ya miaka mitano ijayo tutazalisha megawati 4,000, hivyo kufikia megawati 8,000.
#MamaYukoKazini
ππππ ππ ππππππππ ππππ
βAhadi yetu kwenu wananchi ni kulitumikia taifa hili kwa nguvu zetu zote, vipawa vyetu vyote na maarifa yetu yote.β- Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan