๐จIshu ya Selemani Mwalimu unaweza laumu Simba SC ila ukweli Young Africans SC Wana mahusiano mazuri sana na Wydad Casablanca
Ni kweli Simba SC Kuna panya ila I'm sure hizo loopholes kwenye makubaliano Yanga SC wameambiwa na Wydad CA
Selemani Mwalimu ni MWANANCHI ๐ฐ
๐๏ธ Baada ya Simba kufungwa na RS Berkane ๐ฒ๐ฆ ugenini, klabu ya @YoungAfricansSC inabaki kuwa timu pekee kutoka Tanzania ๐น๐ฟ kushinda ugenini kwenye fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ( USMA 0-1). Yanga walikosa ubingwa kwa goli la ugenini. matokeo ya mwisho yalikuwa (2-2).
Ushabiki pembeni yupi ni striker bora kwa sasa Dunia ๐๐พ
>> Victor Osimhen
>>Alexander Isack
>>Kylian Mbappe
>>Harry kane
>>Viktor Gyokeres
>>Erling Haaland