IRAN YA SHANGAZA DUNIA
Iran sio Venezuela kabisa,ndo nchi ya kwanza duniani kuweza kushambulia kambi 9 za jeshi la US na ku hit target zilizopo nchi za Kiarabu ndani ya masaa 8 tu.
Waliahidi na wametekeleza.
#BilaGanzi
Niliposikia hii clip nikapata hisia kwamba HUENDA siku za kuishi za BIMSUMI zinahesabika.
Anachoongea NCHIMBI ndio kilitakiwa kuzungumzwa na ile TAKATAKA.
Sema hawachelewi kumfanyia Figisu kwa huu msimamo wake Nchimbi. Acha YAUWANE YENYEWE.
TUTAKUWEPO๐ซต๐
Kipindi watu wanalia kwa kulia baada ya Wananchi kuuliwa ila Msanii akafanya kibao kata ndio huyohuyo leo hii mnapush reli yake?? Kwamba nyie ndio mnaijua fedha sana au mnaona wengine hawana uhitaji kuliko ninyi au mnaona waliouawa hawakuwa wanataka hizo fedha eti?
Katika nyakati za Mijadala mbalimbali ndio muda wa kutambua uwezo wa baadhi ya watu wa kufikirisha Akili.
Kuna Rizoningiii za watu, Aibu naona mimi ๐๐๐ฝ