Don't mock someone who appears to be doing less than you. You never know what spiritual change is going through their heart. Humble yourself. Pray for them.
@MkulimaKante Tushawai mshauri mwana fresh kwamba ni kubaya uko toka na ni kweli mwamba anapigwa matukio kila mara af mdau anaenda kumwagika yote tulikoma.
@spana_Konki Huyu kama ameweza kunyonga kiungo chake basi hashindwi kujitoa uhai itabidi awekewe kautaratibu ka VISITING DAY kumjulia hali asije akanyonga shingo.
@MkulimaKante Nakumbuka michezo ikikutinga unasahau kufua ikifika night unafua kwenye kola ya shati asubuhi unavaa zako na sweta fresh Ila omba kwenye ukaguzi kiongozi awe mwanao. 🤣