Usijione wewe tu ndio una stress za MAISHA na mitihani yake. Kila mtu ana pambana na zake, tofauti ni kuwa wengine tunajifunza kuziacha ndani tunapotoka nje. Tunajifunza kucheka kwa sauti baada ya kutoka kulia, Tunajifunza kubeba tabasamu hata kama tuna Maumivu.
Ukiogopa sana lawama hauwezi kuyafurahia maisha yako! Kumbuka kuishi ni mara Moja tu hapa duniani na kuishi ni lawama! Lawama ni kwa walio hai sifa nzuri ni kwa marehemu tu
Miji migumu kuanza Maisha Tanzania
Tabora
Shinyanga
Singida
Tanga
Babati
Kigoma
Tuseme ukweli maeneo yenye baragashia zimekaa pamoja ni changamoto sana🥸